R3d Cup / Uza
Uza
Duka yako, bei yako, pesa yako.
Duka yako, bei yako, pesa yako.
01 Duka yako online
Jina lako, bei zako, stock yako. Customers wanakupata kwa network na wanakulipa moja kwa moja.
02 Screen moja ya siku
Orders live, ripoti ya siku na cash-up ya M-Pesa, cash na TWINT.
03 Customers wako, uamuzi wako
Kitu kikienda vibaya, unaongea na customer wako. RedCup inaunganisha, haiamrishi.
Kwa wenye maduka
Duka yako, bei yako, pesa yako.
Endesha duka yako online. Unaweka bei, customers wanakulipa moja kwa moja, na unaona siku nzima kwa screen moja.
- 0%
- commission. Sasa hivi na baadaye pia.
- KES 100
- kati ya kila KES 100 inabaki kwa duka.
- CHF 100
- kati ya kila CHF 100 Zürich, rule ni ile ile.
Data ya mfano Orders live
Mpya #204Unga 2kg, mayai x6KES 330
#205Sukuma x3, nyanyaKES 120
Inapakiwa #203Mkate, maziwa x2KES 210
Kwa mover #201Sukari 1kgKES 165
Leo
47OrdersKES 21,650MauzoMayaiItem top
Cash-up
- M-PesaKES 18,450
- CashKES 3,200
- TWINT—
JumlaKES 21,650
Funga siku Pata app
Chini ya 1 MB. Inafanya kazi hata network ikiwa mbaya.
RedCup ina-install moja kwa moja kutoka browser. Hakuna store, hakuna download kubwa.
9:41
Sasa, Wanjiku R3d
⌕ Unga, mayai, sukuma…
DukaMama mbogaButcherSalonPharmacy
Ziko wazi karibu
- Mama Wanjiku Stores4 min · Umoja 10%
- Kamau Butchery7 min · Umoja 20%
- Shiru Mboga3 min · Inner Core0%
- Rongai Pharmacy9 min · Rongai0%
0%commission kwa kila duka. Bei ni ya duka.
Mover yuko njianidak 6
PIN4821