Rasimu. Itakaguliwa na wakili kabla ya launch.
Faragha
Site hii haiweki cookies na haina scripts za matangazo ama tracking.
Ukiingia waitlist tunahifadhi simu ama email uliyotupa, role uliyochagua na mji wako. Tunaitumia tu kukujulisha RedCup ikiwa live area yako, na tunaifuta ukiomba.
Data inashughulikiwa chini ya Kenya Data Protection Act, 2019, na sheria ya Uswisi ya kulinda data (FADP).
Kuona, kurekebisha ama kufuta data yako, tuandikie kwa address iliyo chini.